UDADuuuh wanachelewa sana wanatumia usafiri gani?
mkuu, hebu kaijaribu SINGPLAY kama itakufaaWanajamvi naomba msaada wenu wa App kwa ajili ya music.
Ni zile zinazoweza kuondoa beat/instrumental na kubakiza vocal peke.
Vile vile zinazoweza kuondoa vocal na kubakiza instrumental.
Kifupi vice versa katika hizo Application.
Uzi tayari.
Hata hiyo inayoweza haifanyi kazi asilimia mia mkuuKumbe inawezekana !? Hii hufanyika vipi?