Naomba kujuzwa ada za driving schools

Ambassador_

Member
Nov 27, 2020
26
45
Wakuu habari! Naomba kujuzwa ada za driving school, japo najua zitakuwa na utofauti kati ya centre moja na nyingine, ila ile standard kabisa ambayo nitakuwa sijapigwa ina range kiasi gani.

Ps:ndo nataka kuanza kujifunza.
 
Uni tag boss.
 
Kuanzia 150,000 kuendelea vituo vingi ni kuanzia laki 2 vituo vya serikali au VETA ndio huwa na garama nafuu changamoto,wahitaji ni wengi itakulazimu kujiunga kisha usubiri miezi kadhaa zamu yako kuanza kufundishwa. Kazi ni kwako
 
Asante sana.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom