Naomba kujua. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujua.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by JACADUOGO2., Jul 13, 2011.

 1. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naomba nifahamishwe kwamba diwani akijiuzulu udiwani, kwa kawaida uchaguzi wa diwani mwingine badala yake unatakiwa ufanyike baada ya muda gani tangu kujiuzulu kwa yule diwani?
  Kwa mfano, katika jimbo la Rorya kuna madiwani watatu wa kata tatu tofauti walijiuzulu kuanzia Desemba 2010 lakini mpaka leo Julai 2011 hamna dalili yoyote ya uchaguzi ndani ya zile kata tatu katika jimbo la Rorya! Madiwani waliojiuzulu wote walikuwa wa CCM ambao ni Ongujo Wakibara wa kata ya Mkoma, Mr. Ambogo kata ya Nyahongo na Okeya Ogigo.
  Hawa madiwani walijiuzulu kutokana na manyanyaso ya mbunge wa jimbo la Rorya Lameck Airo hasa katika mchakato wa kumchagua mwenyekiti wa halmashauri ya Rorya ambapo Mh. Lameck alitumia ubabe kumpachika ndugu Ochelle katika hiyo nafasi bila ya maridhio ya baadhi ya madiwani.
  Naombeni mnisaidie!
   
 2. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kesho ntakuletea jb hapahapa lakn sheria ya uchaguz inatoa muda huu.
   
Loading...