Naomba kujua upatikanaji wa kadi za NHIF

mavangah

Senior Member
Sep 9, 2015
113
23
Ndugu wanajamvi husika na kichwa cha habar hapo juu km kinavyo jieleza.

Mimi n mwajiriwa mpya wa serikali nina elekea kufikisha mwaka wa pili sasa ila tangu nimejaza fom za afya za NHIF lakini nnachoshangaa nnapofatilia kadi zao kupitia namba yao ya simu kwa njia ya sms ambayo n *152*02# ina niletea ujumbe wa " kadi yako iko ktk hatua ya-closing application, mara ipo ktk hatua ya printing.

Lakini hakuna msaada wowote mbaya zaidi niko mkoani Mwanza na cjui makao makuu yao ya NHIF.

Hivyo nawasilisha kwenu naomba msaada.
 
Last edited by a moderator:
Wapigie siku wana customer care,tazama matangazo Yao kwenye tv utapata namba za simu
 
Ndugu wanajamvi husika na kichwa cha habar hapo juu km kinavyo jieleza, mm n mwajiriwa mpya wa serkali nna elekea kufikisha mwaka wa pili sasa ila tangu nimejaza fom za afya za NHIF lakin nnachoshangaa nnapofatilia kadi zao kupitia namba yao ya simu kwa njia ya sms ambayo n *152*02# ina niletea ujumbe wa " kadi yako iko ktk hatua ya-closing application, mara ipo ktk hatua ya printing. Lakin hakuna msaada wowote mbaya zaid nko mkoan mwanza na cjui makao makuu yao ya NHIF.
Hivyo nawasilisha kwenu naomba msaada.
 
Mwanza ofisi za NHIF zipo jengo la stanbic bank, mbona siku hizi kadi zao zinatoka mapema sana,
 
Back
Top Bottom