Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,045
- 15,378
Habari wakuu wa Vitengo popote mlipo
Naomba kujua ubora wa hizi tablets za CCIT. Naona ni tablets zenye specifications nzuri lakini naona bei yake ipo chini. Naomba experience kwa mtu yoyote amabae anazijua au amewahi kuzitumia