Naomba kujua tofauti ya conceptual framework na theoretical framework,pia na hypothesis

MARA IMARA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2015
Posts
238
Reaction score
163
msaada tafadhali ninafanya research yangu ya masters ndo kwanza niko kwenye proposal haya mambo yamekuwa yananichanganya sana Hasa kuyatumia kwenye qualitative and quantitative research maneno haya ni conceptual na theoretical framework, kidogo hypothesisi ninaijua jua ,utamu wa maarifa ni kushea na maoni yako kidogo tu yanaweza badili mambo mengi sana na labda tanzania yote.lets share
 
kwa kuwa una idea kuhusu hypotheais,ntakusaidia hzo mbili..conceptual framework ni wakati pale mtafiti baada ya kufanya literature review huibuka na maudhui(themes) mbali mbali kuhusu hzo literatures...theoretical framework ni maelezo kuhusu namna gani themes za kwenye hzo literatures zako zina direct au indirect impact kwenye topic yako ya utafiti..
 
kwa hiyo conceptual ni mtazamo wa researcher baada ya kusoma literature nyingi. na theory ni ambayo ipo tayari na ime be proved na inaonyesha relationship ya hizo themes na topic? inmaana hypothesis na conceptual hazitofautiani? maana hypothesis pia ni mtazamo wa researcher? kwa hiyo kwenye findings una prove hypothesis au conceptual framewok? husichoke kunsaidia
 
msaada tafadhali ninafanya research yangu ya masters ndo kwanza niko kwenye proposal haya mambo yamekuwa yananichanganya sana Hasa kuyatumia kwenye qualitative and quantitative research maneno haya ni conceptual na theoretical framework, kidogo hypothesisi ninaijua jua ,utamu wa maarifa ni kushea na maoni yako kidogo tu yanaweza badili mambo mengi sana na labda tanzania yote.lets share

Wanafunzi wa kitanzania at times ni shida sana! Yaani at masters level badala ya kusoma vitabu unakuja kuuliza jamii forums!! Its a shame .
 
Social network ni moja ya sources za habari NA literature reviews hata vitabu unavyozungumzia wewe nowdayz viko softcopied. Kosa liko wapi kupata habari kwenye mtandao NA kwenye kitabu unawza soma kwenye kitabu husielewe NA kupita jf ukaelewa inshu ni kuelewa pasipo kujali umepata wapi its information age there are simple means of acquiring knowledge! Kuna watu wanapata tiba kupitia jf doctors nao ungependa mpaka waende hospital kwa hiyo hata Google scholar.Fikiri Mara mbili information bila kushea haina maana.hata jf unayotumia ni matokeo ya kushea info.kwa nn nkakomae library siku wakati naweza okoa huo muda kwa MTU kunielezea on social network.hauko sahii
 
OK ongeza bidii za kuandaa literature review kupitia jamii forums na Facebook
 
Wanafunzi wa kitanzania at times ni shida sana! Yaani at masters level badala ya kusoma vitabu unakuja kuuliza jamii forums!! Its a shame .

Acha upuuzi wewe kumharibia mtu uzi wake ambao una mantiki kubwa. Hakuna kitu cha muhimu kama mtu kutafuta knowledge, haijalishi inapatikana toka source gani. Hapa tuna ma PhD holders, wanaweza kumpa knowledge kwa sentensi 10 tu ambayo asingeipata kwa kukaa library au kushinda na kitabu masaa mengi
 
Zaid ni kwamba,unaruhusiwa kutumia moja tu,either theoreticl or conceptul,na nzr zaid conceptl coz unaitengeneza mwnyw
 
I am not sure why you are talking about qualitative and quantitative research at the same time. The frameworks you are asking will differ depending on whether you are pursuing a qualitative or quantitative research.
 
Inaelekea unajua jibu LA swali langu basi tu hutaki kunipa wepesi..ndo maana hata PhD bingo watu wanasota sana sababu ya kubaniana tu.nipe info mi nkamalize kazi tujenge taifa letu
 
Na usisahau kuzingatia literature review yako yote unapodadavua conceptl.
 
Acha upuuzi wewe kumharibia mtu uzi wake ambao una mantiki kubwa. Hakuna kitu cha muhimu kama mtu kutafuta knowledge, haijalishi inapatikana toka source gani. Hapa tuna ma PhD holders, wanaweza kumpa knowledge kwa sentensi 10 tu ambayo asingeipata kwa kukaa library au kushinda na kitabu masaa mengi

Ndio namna yako ya kufikiria hiyo.
 
Navyoelewa mimi conceptual framework inakuwa developed kutoa details kuhusiana na major themes utakazofanya nazo kazi. It tells more about the context of your writing kwa kudefine wewe kama wewe unaview vipi study yako.

Maake the same study inaweza kuwa katika contexts tofauti tofauti so wewe kama mtafiti unafanya kazi katika context ipi?? Hiyo ndio naifahamu kama conceptual framework.

Na kuhusu theoretical framework hii huwa inakuwa developed kutokana na theories ambazo zimeshaandikwa kuhusiana na hicho unachokifanyia tafiti. It comes more from pre existing literature.
 
Zaid ni kwamba,unaruhusiwa kutumia moja tu,either theoreticl or conceptul,na nzr zaid conceptl coz unaitengeneza mwnyw

unaona mambo ndo haya kipindi nasoma soma nimekutana na hii kitu kuwa its better kutumia moja na wengi wanapendelea conceptual kwa sababu unajiachia na unaeweza kudili nayo. ntatumia conceptual..lakini sasa hypothesis itakwa na haja tena? maana ntaenda kutest conceptual framework si ndio?
 
Huyo anayesema wanafunzi wakitanzania wapumbavu,mpumbavu yeye na familia yake kwanza kama ni mwanaume amekosa hekima kabisaaaaaaa,kama NI mwanaume Sijui anaishije na mke wake Kama hajaoa namshauri asioe kwasababu hana utaalamu wa kuendesha familia
 
Wanafunzi wa kitanzania at times ni shida sana! Yaani at masters level badala ya kusoma vitabu unakuja kuuliza jamii forums!! Its a shame .

Ina maana Jamii forum hakuna watu
wenye uwezo wakumsaidia ..?
Nyie ndio wale ambao huwa mkipata doctorate
au kuwa professor basi una amini mwalimu wako
wa darasa la kwanza aliyekufunza kusoma
na kuandika kuwa hawezi kukufunza kitu kwani
kwa muda huo unakuwa ume mzidi kila kitu.

Mbona mie naona mleta mada kauliza kiungwana
tu, kwa anayejua anamfafanulia kiroho safi bila kwele nyingi.

NB:
Nikukumbushe kitu kimoja kwenye kusoma wana
taaluma tuna amini kuwa "Learning is an endless process''.
 
msaada tafadhali ninafanya research yangu ya masters ndo kwanza niko kwenye proposal haya mambo yamekuwa yananichanganya sana Hasa kuyatumia kwenye qualitative and quantitative research maneno haya ni conceptual na theoretical framework, kidogo hypothesisi ninaijua jua ,utamu wa maarifa ni kushea na maoni yako kidogo tu yanaweza badili mambo mengi sana na labda tanzania yote.lets share

Ngoja mie nikusaidie kuelewa kwa kukueleza the roles of these frameworks. Tha conceptual framework provides a general representation of relationships between things in a given phenomenon. Kwa maana ingine inasummarize the relationships zinazoelezea a certain theory or theories. A theoretical framework is broader in scope than a conceptual as it describes a broader relationship between things.
A conceptual framework it specifies the specific relationship between the variables examined in a study. Hili neno "conceptual" limetoka kwenye neno concept. Kwa kifupi ni relationship between the concepts zinazotafitiwa. Kwasababu una ufahamu wa hypotheses utaona kuwa conceptual framework inaziainisha hypothesis humo ndani kwa sababu in a way, conceptual framework is the researcher's idea on how the research problem will have to be explored.
 
Navyoelewa mimi conceptual framework inakuwa developed kutoa details kuhusiana na major themes utakazofanya nazo kazi. It tells more about the context of your writing kwa kudefine wewe kama wewe unaview vipi study yako.

Maake the same study inaweza kuwa katika contexts tofauti tofauti so wewe kama mtafiti unafanya kazi katika context ipi?? Hiyo ndio naifahamu kama conceptual framework.

Na kuhusu theoretical framework hii huwa inakuwa developed kutokana na theories ambazo zimeshaandikwa kuhusiana na hicho unachokifanyia tafiti. It comes more from pre existing literature.

safi sana sana nimeunganish doti na reviews zingine nimeelewa hata mtu akiniuliza naweza mwelesha safi kabisaaa l na nikisha chukua moja kuna haja ya hypothesisi tena mkuu?
 
unaona mambo ndo haya kipindi nasoma soma nimekutana na hii kitu kuwa its better kutumia moja na wengi wanapendelea conceptual kwa sababu unajiachia na unaeweza kudili nayo. ntatumia conceptual..lakini sasa hypothesis itakwa na haja tena? maana ntaenda kutest conceptual framework si ndio?
Nadhani hypothesis ni kingime na conceptual framework ni kingime. Kwenye hypothesis yako lazima kuna variables zinatengeneza hypothesis, so conceptual framework yako itadefine the depth of your variables na how do you fit them kwenye context ya research yako.
 
msaada tafadhali ninafanya research yangu ya masters ndo kwanza niko kwenye proposal haya mambo yamekuwa yananichanganya sana Hasa kuyatumia kwenye qualitative and quantitative research maneno haya ni conceptual na theoretical framework, kidogo hypothesisi ninaijua jua ,utamu wa maarifa ni kushea na maoni yako kidogo tu yanaweza badili mambo mengi sana na labda tanzania yote.lets share
.
soma hii kwa kuanzia ila ni kweli so confusing
A conceptual framework is the researcher's idea on how the research problem will have to be explored. This is founded on the theoretical framework, which lies on a much broader scale of resolution. The theoretical framework dwells on time tested theories that embody the findings of numerous investigations on how phenomena occur.
The theoretical framework provides a general representation of relationships between things in a given phenomenon. The conceptual framework, on the other hand, embodies the specific direction by which the research will have to be undertaken. Statistically speaking, the conceptual framework describes the relationship between specific variables identified in the study. It also outlines the input, process and output of the whole investigation. The conceptual framework is also called the research paradigm.
 
Back
Top Bottom