MLALE JF-Expert Member Sep 30, 2015 211 410 Jan 22, 2020 #1 Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,naomba mdau yeyote anayejua sehemu ninayoweza kupata amira (yeast) ya kutengenezea wine anisaidie. Au mwenye kujua ingredients inayoweza kuwa ni mbadala wa yeast anisaidie tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,naomba mdau yeyote anayejua sehemu ninayoweza kupata amira (yeast) ya kutengenezea wine anisaidie. Au mwenye kujua ingredients inayoweza kuwa ni mbadala wa yeast anisaidie tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
Ngamba JF-Expert Member Jun 6, 2013 748 148 Apr 26, 2020 #2 Kama bado hujapata unaweza tumia baking yeast nayo pia inaweza tumika ila itabidi wine ikae zaidi ya miezi 3 kabla hujaitumi/kunywa wine yako Sent using Jamii Forums mobile app
Kama bado hujapata unaweza tumia baking yeast nayo pia inaweza tumika ila itabidi wine ikae zaidi ya miezi 3 kabla hujaitumi/kunywa wine yako Sent using Jamii Forums mobile app