kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,365
Nina tatizo la kupata maumivu makali tumboni au nikila chakula chochote chenye sukari, ugali, au nikinywa pombe, nikibana mkojo kwa dakika kadhaa.
Na maumivu haya yanatokea chini ya kifua halafu yanashuka mpaka kwenye sehemu zangu za siri, na yakishuka kuna muda nashindwa kutembea kabisa, maana nahisi kama kuna mtu ananikata kata tumboni kwangu na kisu au kiwembe, halafu yanakuja na kuondoka hayachukuwi hata dakika 10.
Ila yakiondoka ninabaki nina legea kinoma. Nilikwenda hospitalini walinicheki wakasema nipo sawa sina tatizo lolote tumboni, eti hali kama hii inampata kila mwanaume. Je, ni kweli au wananidanganya?
Na anayejua dawa ya ugonjwa naomba anisaidie, maana unanitesa saana.
Sent using Jamii Forums mobile app