Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,765
- 5,835
Ile ni 5H GULF STREAM, ipo ipo tu imepaki. Dunia nzima iko peke yake (ni mtumba). Unaambiwa inakunywa sana wese, ukisafiri nayo inabidi ufungashe kidumu kingine cha mafuta.
Ikiharibika mfano brake, inabidi uende ufaransa walikotengeneza. Na penyewe kiwandani sio kwamba utazikuta brake! inabidi watume mtu aje achukue vipimo ndio waanze kutengeneza hizo brake kwa order maalum.
Ndio maana mzee JK alikuwa anachana mawimbi angani kupitia ndege za mashirika mengine.