erique
JF-Expert Member
- Apr 23, 2010
- 587
- 578
huyo alieuliza hilo swali sio mfuatiliaji wa safari za Rais. Ndege ipo, na ndio anayotumia mara zote.Swali nyeti kweli, mwenye uelewa atujuze.
huyo alieuliza hilo swali sio mfuatiliaji wa safari za Rais. Ndege ipo, na ndio anayotumia mara zote.Swali nyeti kweli, mwenye uelewa atujuze.
Kubana Matumizii...!? Wakat Raisii Anatumia Ngede ya shlika ..!? Why Asitumie Ya serikali nduo Nafuu ...!?MKUU VITU VINGINE NI VYA SIRI MNOOO.LABDA IMEBADIRISHWA KUWA OFISI YA KISERIKALI KUBANA MATUMIZI YA KUWA NA OFISI NYINGI
Habarii zenu Ndugu Zangu
Najua Mnapenda Halakati Za kuiweka Tanzania Kwenye Mstarii Ziwepo Hivyo Basii Naomba Sapoti Yenu Kama Watanzania
.
.Nawapa Taarifa Kwamba Kwa Sasa Harakatii Zitaendelea Kwenye Page Yangu Mpya Nitayo Waambienii,...
.
. . ~Tuendelee~
.
.
Naamini kila mtu atakuwa anajua kuwa serikali ya awamu ya NNE ilinunua ndege kwa ajili ya safari za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania almaarufu "Ndege ya Rais".
.
. Sasa tokea serikali ya awamu ya tano imeingia madarakani sijaona Rais akisafiri nayo safari na hasa zile za mbali.Sasa naomba kujua hiyo ndege iko wapi na inafanya kazi gani?!
Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba Jk kikwete Alinunua ndege kwa Ajili ya Matumizi Raisii Lakini mpk sasa HaionekaniiiUnauhakika kuwa ndege ilinunuliwa na serikali ya awamu 4???Ndege ilinunuliwa mwishoni kipindi cha mkapa .Ndege ipo pale terminal 1
Umeonaee..!?Tena nakumbuka kuna mpumbavu mmoja alisema bora tule nyasi lakini ndege inunuliwe kumbe lilikuwa dili la ccm kupigia pesa
Nimegundua humu wapotoshaji na wadanganyifu ni wengi.angalizo wana jf humu asilimia hamsini ya mambo yanayowekwa ni uongo
Aiseee JF ni waongo sana aiseee... Ndege ipo nani nzima kabisaaa na JK kasafiri nayo sana sanaaaa, na sasa Mh. Rais wetu anasafiri nayo sana tu, ilimpeleka Dodoma juzi na akimaliza shughuli huko itamrudisha Dar.. Pia niliona Makamu wa Rais wetu mama Samia alienda nayo Nairobi, Kenya kwenye sherehe za kuapishwa Rais Uhuru Kenyatta.. Pia niliona Zanzibar ilimpeleka Mh. Rais na kumrudisha. Tena bado mpya sana sana.. CHADEMA acheni uongo duuh
JF waongo aiseeee