Naomba kujua manufaa ya 4G LTE

Naomba kujua manufaa ya 4G LTE

Juzi kati nilidownload movie ya hd kwa muda wa dk 5 tu, ila siku niliamua kutumia 4G ya tigo, ilibidi nilale huku nimeiacha pc inadownload.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]

Tigo ni Kisanga
 
Kume na ww imekukera hio? Mie nimejisikia vibaya sana. Mbaya zaidi ndo laini ninayoitumia kwa ishu zangu zooote.
Kwanza Tigo wameniuzi mno baada ya kuondoa kifurushi cha 2,500/= cha saizi yako...alafu internet yao ya 4G, kwa Voda naihesabia ni 2G.
 
Hilo ni la kweli kbs. Tigo net yao slow mnoooo
daah yani kutoka voda had tigo lazima uone tofaut kwanza ninaamini 4g ya tigo ni.ya uzushi haijakidhi viwango inapitwa mbali sana na 3g ya halotel
 
Inategemeana na sehemu ulipo
4G ya voda ni sawa na 3G ya halotel huku
 
Sio mchezo sema inakika mb balaa.
Screenshot_20191022-095145_Samsung%20Internet.jpeg
 
Speed kama speed Halotel wapo vizuri sasa hivi ukiwa na kifaa highend chenye Gigabit lte inapeak hadi 120mbps, na muda mwingi inakaa 80mbps, voda wao ni 40 mpaka 60mbps,

Sema voda ni reliable kushinda mitandao yote, wana ping ndogo na pia unakaa masaa bila network kukata ama kupungua speed, kama unacheza games online ama kufanya kazi yoyote inayohitaji ping ndogo na network nzuri voda wapo juu

Kuhusu vifurushi vodacom wametoa kama vya tigo home internet sema vya kwao ni unlimited.

Kwa 50,000 unapata GB 30 za mchana, GB30 za usiku na ukimaliza hizo GB 30 unatumia unlimited kwa 0.5mbps mpaka mwezi uishe, huduma inaitwa kasi internet. Hio 0.5mbps ni kama Halotel Royal bundle, wangeongeza speed angalau 1mbps wangempiga bao Halotel.
 
Back
Top Bottom