Habari za pilika wanaharakati ,poleni Na mapambano ,.naomba kufahamu mambo matatu kuhusiana Na tractor
1. Naomba kujua ni tractor Bora Na imara kwa Kilimo.
2. Gharama ya tractor kwa hapa tanzania au kwa kuagiza
3. Taasisi au kama kuna bank ambayo unaitoa mikopo ya matractor kwa hapa Tanzania.
Nimedhamilia kuitafuta tractor kwa mwaka 2018, iwe kwa kukopa au kudunduliza natanguliza shukrani zangu kwenu.