Naomba kujua kuhusu Samsung Gallaxy Note 9

Naomba kujua kuhusu Samsung Gallaxy Note 9

Chukua samsung note 9 mzee mm hua naichaj asubuh then inakaaa siku nzima kabisa bila tatizo ila chukua snapddagon ni nzur zaid
 
Chini ya laki 8 mkuu kwa sababu hizi
1. Haina warranty tena
2. Sd 845 ni equivalent ya sd 765 midrange ya sasa ambazo simu zake unazipata chini ya hio laki 8 mfano oneplus Nord.
3. Bei yake huko Nje imeshashuka chini ya dola 300.

Sema kuwa tu makini na refurb
Hii unatambuaje Mkuu?
 
Hii unatambuaje Mkuu?
Ipi mkuu?
1. Warranty ni miaka 2 toka simu imetangazwa, ilipotoka note 20 ina maana Note 9 tayari imeisha warranty

2. Perfomance kuwa equivalent ya Sd 765 nimeangalia benchmarks.

3. Bei nimegoogle online.
 
Back
Top Bottom