Naomba kujua kuhusu Samsung Gallaxy Note 9

Karibu katika ulimwengu wa note 9 hakika hutajutia
 
Hii simu inalalamikiwa kwa matatizo ya display na watu wengi sana,

By the way Ile S-pen ina uzuri wake banaa, asikwambie mtu ukishashika Samsung Note hutokubali kuiacha
Mkuu kioo kinalalamikiwa kwa tatizo lipi zaidi na vp kuhusu s9+
 
Unless unaipata chini ya laki 8, not worth it kununua flagship ya zamani hivyo kwa bei ghali.

Siku hizi samsung Anatoa simu za Lite ambazo ni flagship wanazopunguza vitu kidogo lakini bei yake nayo inakuwa nafuu, mfano S10 lite ama Note 10 lite ni choice nzuri over note 9.

Compare na midrange kama A series na midrange za makampuni mengine still Note 9 ni simu nzuri.
 
Chief vp unaonaje s9+ inafaa irrange kwenye ngapi hivi
 
Chini ya laki 8 mkuu kwa sababu hizi
1. Haina warranty tena
2. Sd 845 ni equivalent ya sd 765 midrange ya sasa ambazo simu zake unazipata chini ya hio laki 8 mfano oneplus Nord.
3. Bei yake huko Nje imeshashuka chini ya dola 300.

Sema kuwa tu makini na refurb
 
Mkuu vp battery ya Samsung s9+ inaweza kumaliza siku kwa matumizi
 
matumizi madogo ama ya kati, ila matumizi makubwa haiwezi. SOT rating yake ni kama masaa 6 ama 7 hivi, kama unaitumia mfululizo
Samsung gani nzuri ninaweza kupata mpya ambayo Ni nzuri na inaweza kumaliza siku nzima hata kwa matumizi makubwa bila kuchaji kwa Bei ya laki 8
 
kwa laki 8 za kuchukua dukani utapata hizi midrange kama galaxy m30 ama A70 hizi zinakaa na chaji sana sema ni midrange na utakosa premium features.

kwa flagship Note 9 inakaa na chaji kuliko s9 inaweza kaa hio siku nzima maybe.

ila kwenye hizi flagship za samsung s10 lite inakaa na chaji kuliko zote, kwa hio laki 8 ngumu kupata ila sio impossible, kama utavizia deals za online nimeshaona mara kibao ikiuzwa chini ya dola 400.

pia mkuu kwa simu zisizo za Samsung oneplus Nord ni simu ya kuiangalia
 
Mkuu hii oneplus nord Ina ip68?
 
Hizi midrange za Samsung sizipendi maana hazina ip68 ikitokea mvua inakunyeshea unaanza kuwa na wasiwasi na simu yako
 
Back
Top Bottom