Naomba kujua kuhusu gypsum board

Naomba kujua kuhusu gypsum board

mcfm40

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,452
Reaction score
3,152
Naomba kwa mwenye uelewa kuhusu ubora wa gypsum board zinazotengenezwa hapa nchini (za kichina) na zile maarufu za Thailand.

Je, ni kweli zinatofautiana sana ubora au ni swala la brand tu? Nauliza hivi kwa sababu bei zinatofautiana sana. Za hapa ndani zinauzwa kati ya 14000 na 15000 wakati zile za Thailand zinauza kati ya 18000 mpaka 20000.

Naombeni msaada wenu kwa wale wenye uzoefu na haya mambo kwani napaswa kufanya uamuzi haraka.

Asanteni wanaJF.
 
Mimi nimetumia za kichina, hata sikujua kuwa zipo za Thailand na Tanzania. Ubora wa hizi za China ni kuwa yahiyltaji umakini wakati wa kibeba na kugongea. Si unaelewa Mchina?
 
Mimi nimetumia za kichina, hata sikujua kuwa zipo za Thailand na Tanzania. Ubora wa hizi za China ni kuwa yahiyltaji umakini wakati wa kibeba na kugongea. Si unaelewa Mchina?
Nashukuri kwa ushauri
 
hivi hizo gypsum ndio zikoje wanajamii???wekeni picha
Screenshot_20200518-183619.png
 
Nilitumia za Tanzania kwenye ujenzi wangu nafikiri ilikuwa 16k ni nzuri sana hizo za Thailand sijawahi kuziona
 
Asante sana mkuu,na hio filling ndio nini ndio blandering?? usinicheke..lol
Blundering ni zile mbao zinazokuja shika hiyo gypsum(zinakuwa nyingi kama draft draft) Kufili ni ile kuziba yale makutano baina ya gypsum moja na nyingine pia na yale matundu ya screw.
 
Weka za kichina ata za Tanzania ubora ni ule ule kikubwa fundi!
 
Mkuu nunua Gyproco huyu ndio anatisha kwa soko la sasa...

Anaemfuata hapo ni Standard, mimi kwangu nikifunga Standard ziko vizuri pia...

NB: Usinunue Gypsum board kutoka naskia si nzuri hata wakati wa kukata zinamong'onyoka (Low quality)...

Kwa ushauri wangu ukitaka nyumba yako iwe vizuri weka gyproco au standard...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom