Sasa kama una uhakika unauliza nini?Hapana tafuta huyo MTU Cesare borgia
Navojua sheria za kanisa padre..Askof...papa haruhusiw kuoa was kuwa na mtoto!Picha yake ilishawah kutumika kama yesu kwa kipindi flan ila sio mpk xahv na pia leonard da vinci aliajiliwa na mshkaji kama engineer na ndo aliechora picha zake ambazo baba ake kama ulivosema kwamba ni papa akaamua itumike kwa muda ule........ Picha zinazotumika sasa ni za brian deacon lakini based on ile picha ambayo yesu alimuachia veronica kipindi kile... Ani brian deacon sawa lakini aliefanya make up ili afanane na ile picha ya yesu alopewa veronicah
Haikuwa familia....ni utaratibu ule wa Kifungilo.Navojua sheria za kanisa padre..Askof...papa haruhusiw kuoa was kuwa na mtoto!
Ilikuaje huyu Papa akawa na familia na ikawa recognizable na kanisa?
Kipi hujaelewa? mbona ilikuwa wazi sana kipindi kile?Sijaelewa mkuu naomba ufafanue
jisanjaTafuta uzi unaitwa was jesus black? ( kama sijakosea) mwandishi ni einstein newton Maswali yako yote na sintofahamu yako itajibiwa kwenye uzi huo
Mkuu pongezi kidogo kwa kuwa na imani nzuri ila kuna jambo unalolisahau, kama ulivyopokea maandiko ya biblia tambua kuwa hata picha za Yesu zilikwepo. Kwa hiyo waigizaji wanachofanya wanamchukua mtu anaefanana na Yesu ndio anacheza part yake. Kumbukumbu zipo vatican na jerusalem. Soma zaid uelewe mkuu wangu.Yesu hakuwa na picha na hatumfaham kwa sura .tunamfaham kwa matendo na maneno yake. Ni ujinga kuhangaika na sura au sanamu ambazo tumezichonga tukisema ni za Yesu. Yesu yupo moyoni
ebu kaicheki movie series inaitwa "The Borgias"ni filamu ya kusisimua inayoelezea maisha ya huyu Papa na utawala wake...ni kweli alikuwa na familia..mwanawe wa kiume alikuwa mkuu wa majeshi katili..alimuua shemeji yake kisa kumpiga mimba dadake!kumbe naye alikuwa anakula tunda la dadake....nisikumalizie uhondo itafute...Sidhan Kama MTU mwenye akil timam anaweza fika hukoo maana Mimi nmeomba kufahamishwa
Kwa anaejua