Chuo kinachotoa kozi zinazohusiana na wakimbizi ni chuo Cha Diplomasia kipo Kigamboni jijini Dar es salaam.Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nataka kujua kama kuna chuo kinatoa kozi yeyote inayohusiana na masuala ya Wakimbizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kurasini? Au vipo vingi?Chuo kinachotoa kozi zinazohusiana na wakimbizi ni chuo Cha Diplomasia kipo Kigamboni jijini Dar es salaam.
Huko utasoma mambo yote yanayohusisha wakimbizi, Diplomasia na mahusiano ya kimataifa n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Vigezo na Masharti?Chuo kinachotoa kozi zinazohusiana na wakimbizi ni chuo Cha Diplomasia kipo Kigamboni jijini Dar es salaam.
Huko utasoma mambo yote yanayohusisha wakimbizi, Diplomasia na mahusiano ya kimataifa n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuChuo kinachotoa kozi zinazohusiana na wakimbizi ni chuo Cha Diplomasia kipo Kigamboni jijini Dar es salaam.
Huko utasoma mambo yote yanayohusisha wakimbizi, Diplomasia na mahusiano ya kimataifa n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachanganya Mambo. WAKIMBIZI NI REFUGEES NA SI MIGRANTS. Migrants Ni WAHAMIAJI
Kigamboni au kurasini?Chuo kinachotoa kozi zinazohusiana na wakimbizi ni chuo Cha Diplomasia kipo Kigamboni jijini Dar es salaam.
Huko utasoma mambo yote yanayohusisha wakimbizi, Diplomasia na mahusiano ya kimataifa n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana unajua content za vyuo vyote? "No research no right to speak" pale udsm nadhani school of law wanato either certicate au kitu kama hicho. Fika pale au mtume mtu au peruzi tovuti yao kwa taarifa zaidi.
Sio specifically dedicated to migrantsBachelor of art in peace building and conflict resolution-KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY IN TANZANIA