Naomba kujua kama kuna Chuo Tanzania kinatoa Course zinazohusu masuala ya Wakimbizi(Migrants)

Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nataka kujua kama kuna chuo kinatoa kozi yeyote inayohusiana na masuala ya Wakimbizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo kinachotoa kozi zinazohusiana na wakimbizi ni chuo Cha Diplomasia kipo Kigamboni jijini Dar es salaam.
Huko utasoma mambo yote yanayohusisha wakimbizi, Diplomasia na mahusiano ya kimataifa n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachanganya Mambo. WAKIMBIZI NI REFUGEES NA SI MIGRANTS. Migrants Ni WAHAMIAJI
 
Bachelor of art in peace building and conflict resolution-KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY IN TANZANIA
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom