Naomba kujua juu ya Mbeya

Naomba kujua juu ya Mbeya

Nicheck pm hayo yote nitakuelekeza ukifika na tutakuwa wote kama hutojari.
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo

Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
 
Mkubwa sasa wewe acha kashfa mbeya tuna tohara za jadi acha zenu za hospital mira tunazingatia tunalelewa kwa maadili hatupungukiwi nguvu za kiume kama watoto dar sisi ni majembe kweli kweli mkuu

Toka lini wanyakyusa wanatahiriwa?
 
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo

Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Vimwana hauwapendi, watoto wa kinyakyusa na kisafa hawana hiyana mungu alivyowapa bure.
 
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo

Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Utajua tu ukifika,ukihitaji sehemu yenye wanaume six park unishtue!
 
Wanyakyusa wanajielewa ...

Wasafwa wajinga wajinga Sana bado wapo kwenye comfort zone..

Maisha yapo chini ila hela haipatikani kirahisi

Baridi sana mwezi wa 6 na 7 na vumbi linalokera ...

Makanisa mengi na wachawi wengi..

Bado Ni vijiji tu kifupi Ni jiji jina.
Teh teh teh... Nilisikia kule Kuna dini tofauti tofauti zaidi ya 400 !!!
 
City park pale Mwanjelwa kuna msosi safi kabisa.

Kitimoto nenda Savoy.

Mafiat kuna bidhaa adhimu kabisa.

Mbeya carnival supu ipo nzuri.

Accomodation popote penye ulinzi mzuri.

That's all.
Hahahaha
Ulimfahamu sam wa savoy?
 
City park pale Mwanjelwa kuna msosi safi kabisa.

Kitimoto nenda Savoy.

Mafiat kuna bidhaa adhimu kabisa.

Mbeya carnival supu ipo nzuri.

Accomodation popote penye ulinzi mzuri.

That's all.
Mbeya Carnival Hapo Nimepata Huduma Safi
City Park Wanajua Sana Kuchoma Nyama
 
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo
Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
kila baada ya nyumba tatu kanisa,kila baa imezungukwa na makanisa zaidi ya mawili,siku za jpili mashuleni kila chumba cha darasa ni kanisa,ushirikina upo sana
 
Back
Top Bottom