Naomba kujua juu ya Mbeya

Naomba kujua juu ya Mbeya

Karibu mbeya....kila kitu kiko vizuri! Kama ni jijini utakaa kwa muda gan? Tukupe hotel ama lodge? Au ndo unahamia mkuu?
 
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo

Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Kama utakua kwamuda mrefu mbeya nisehemu nzuri yakuishi hasa katika mwanzo wamaisha kwakua vyakula nibei rahisi ila mazingira mazuri yakuishi unaweza ukapata kama iwambi,isyesye,forest mpya hii nikutokana Na kua nakipato angalau chamaisha(kikubwa) ila kama unakipato chakawaida sana kunasehemu zingine tofauti nahizo kulingana Na ukaribu wa eneo lako lakazi ila nisehemu ambayo haina viwanja vingi vyakutumia mshahara wako Kwa upande wamakanisa hapa ndo nyumbani kwake kifupi umefika
 
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo

Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
We sema unaenda kuandamana Mei 1, hafu kesho yake unarudi Dodoma, ila jihadhari kama unakuja leo mahoteli na gesti zote zimejaa
 
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo

Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Vipi umeolewa au bado?
 
ukifika nishitue nitakupeleka mitaa yote bure
 
Kama MTU
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo

Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Ndio kanisani uliza Jesus Victory Church au JVC ,hospital nzuri ni Ebenezer pale mwanjelwa na pharmacy au maduka ya dawa uliza maranatha misosi mingi ila hawajui kupika
 
karibu sana kama hujaolewa itakua vema zaidi
 
City park pale Mwanjelwa kuna msosi safi kabisa.

Kitimoto nenda Savoy.

Mafiat kuna bidhaa adhimu kabisa.

Mbeya carnival supu ipo nzuri.

Accomodation popote penye ulinzi mzuri.

That's all.
 
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo

Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc

We jiandae tu kisaikolojia ya kuchunwa ngozi na kukutana na watoto wakubwa (wanaume magovi) kila kona ya jiji.
 
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo
Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Makanisa! Inakuwaje hujui wewe ni dhehebu gani! Kazi uliyotumwa inamaswali mengi kwani inahusu makanisa tu!
 
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboo

Kifupi, nimepata safari ya muda kikazi mkoani Mbeya. Sasa naomba kujua juu ya jiji hili katika mambo kama mitaa mizuri, sehemu za chakula, afya, makanisa etc
Naenda Mbeya tarehe 3 ijumaa nitakuwepo huko hadi jumapili kama hutojali naomba tuonane naijua mbeya vizuri sana maana nilizaliwa hapo
 
Mkubwa sasa wewe acha kashfa mbeya tuna tohara za jadi acha zenu za hospital mira tunazingatia tunalelewa kwa maadili hatupungukiwi nguvu za kiume kama watoto dar sisi ni majembe kweli kweli mkuu
We jiandae tu kisaikolojia ya kuchunwa ngozi na kukutana na watoto wakubwa (wanaume magovi) kila kona ya jiji.
 
Nikati ya mikoa ambayo ofisi wakisema wananihamishia huko wanakuta nimesha jilipia nauli wasije kubadili maamuzi.Sio kwetu lakini nakupenda sana mby, soko matola nime3kulia hapo nikahamia uyole shirikani wakati linaitwa SKU ilikuwa raha sana
 
City park pale Mwanjelwa kuna msosi safi kabisa.

Kitimoto nenda Savoy.

Mafiat kuna bidhaa adhimu kabisa.

Mbeya carnival supu ipo nzuri.

Accomodation popote penye ulinzi mzuri.

That's all.
Ni city pub sio city park
 
Back
Top Bottom