hiyo ni 3G internet speed na pia inauwezo wakufikia mpaka 7.2Mbps hiyo ni speed rate ya kudownload ambapo kibongobongo mpaka uwe kwenye eneo ambalo 3G haisumbui ndio utapata speed nzuri na kufurahia modem yako..
Shukran wakuu wacha nikamate mzigo,kuchakachua modems nimechoka.
modem ulizozichakachua zote zimeharibika? au umechoka kwa maana gani? kama ulivyoambiwa zote ni kitu kile kile ila kwa experience yangu hizi wanazoziita universal wanaziuza bei ya juu. na hizi zenye ma chata ya tigo, voda, airtel etc zipo bei ya chini......
zipo mkuu zinauzwa kuanzia elf 35
mkuu taja aina ya modem maana kibongo bongo modem za 3.6mbps ya bei ghali sana ni 30,000 zipo hadi za elf 15 na 20 ila hizi zinazouzwa 30,000 hadi 35,000 ni za 7.2mbps. So itakua haina maana kununua ya 3.6 mbps kwa 35,000 wakati zipo za 7.2 mbps

Utajuaje hii ni 3,6mbps au 7,2mbps