Mbagala Tz
Member
- Mar 16, 2017
- 57
- 42
Wakuu Salaam
Naomba mnielekeze namna ya KUTUMIA VPN...ili niweze KUTUMIA mtandao kutokana na hii shida ya mtandao
Asante
Kuna Members Wameweka Ambayo Unapata Bila Kupitia Play Store, Aendelee Kuperuzi Na KudadisiMiongozo ilishatolewa sana humu.
Kwa kuwa sasa hata playstore haifanyi kazi itabidi utumie ujanja ujanja wa kudownload vpn nje ya playstore.
kwani mnakuwaga wapi? taarifa zinapotolewa au ndo hamuaminigi mpaka izime kwako ndo uamini?Wakuu Salaam
Naomba mnielekeze namna ya KUTUMIA VPN...ili niweze KUTUMIA mtandao kutokana na hii shida ya mtandao
Asante
Kwa Sasa huwezi kudowanload tena wameshafyeka Kila kitu kimachohusu download nchi hii, wenzenu tuliwahi mapema Kinga Bora kuliko tiba tuko mzigoni now....ni mwendo wa 6g...Wakuu Salaam
Naomba mnielekeze namna ya KUTUMIA VPN...ili niweze KUTUMIA mtandao kutokana na hii shida ya mtandao
Asante
mi nakula maisha tu na VPN yangu..Wakuu Salaam
Naomba mnielekeze namna ya KUTUMIA VPN...ili niweze KUTUMIA mtandao kutokana na hii shida ya mtandao
Asante
Mi saa hizi Niko Los Angelesmi nakula maisha tu na VPN yangu..
Mi niko cape town South Africa.. bila shida nachat na machalii wangu wa minesota USA 😀😀😀😀.... VpN RahaMi saa hizi Niko Los Angeles
Kuna watu wanashangaza sana aiseeekwani mnakuwaga wapi? taarifa zinapotolewa au ndo hamuaminigi mpaka izime kwako ndo uamini?
Nipo pande za United Arab Emirates.Mi saa hizi Niko Los Angeles
Mchawi wa ccm teknolojia, wanatumia mabilioni kuikimbia teknolojia ili watanganyika waendelee kulala usingizi wa pono lakini mungu anaendelea kutusimamia...
Kumbe upo buza kwa lulengeMi niko cape town South Africa.. bila shida nachat na machalii wangu wa minesota USA.... VpN Raha
jiongeze basi kwani lazima uwe nchi moja si uchague server nyingine?Wakuu msaada, nimeweka proton vpn na iko active inaonyesha nipo SOUTH AFRICA lakin bado sipati hii mitandao mingine tena ikiwa active hata jamiiforam inagoma kufunguka tatizo ni nini hapo
Msaada tafadhali wengine kazi zetu zinategemea hii mitandao kwahiyo tumepigwa doro tu kwa sasa.
Mkuu nimebadili to USA, UK lakini bado bilabila.jiongeze basi kwani lazima uwe nchi moja si uchague server nyingine?
wwe uko Yombo kwa mtogore😀😀😀😀 big up manKumbe upo buza kwa lulenge