wasalaaamu
Awali wa yote wote tunajua kuwa ni weekend kwa hiyo huwa watu wanatoka sehemu mbalimbali kupunguza stress na uchovu wa wiki nzima
Kwa upande wangu ninapokua napata baridi na moto huwa inafika point system inakuwa kwenye equillibrium kiasi kwamba sitakiwi kuongeza hata chupa moja kwani inaweza nipoteza memory zote, kwaiyo huwa ndo mwisho wangu kunywa wakati nikiwa napenda zaidi niendelee ila ndo basi
Kwa watalaamu na wazoefu ningependa kujua jinsi gani ya kupunguza pombe kichwani ili kuwezesha kuendelea kunywa na zingine
Nawasilisha