GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 933
- 1,251
KWEMA humu nilijisajili mwaka jana mwezi wa kumi na moja lakini mpaka leo naambiwa namba bado haijatoka naomba kujua njia za kuipata asanteni.
NIDA Online-ServicesKuptia cm yangu ya mkononi nawezaje kupta namba ya nida.?