Naomba kujua jinsi ya kupata namba ya NIDA kupitia mitandao

GREAT NAME

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
932
1,249
KWEMA humu nilijisajili mwaka jana mwezi wa kumi na moja lakini mpaka leo naambiwa namba bado haijatoka naomba kujua njia za kuipata asanteni.
 
wala mie ni mchunga ngo'mbe huku kijijini

Changamka dogo ajira hiyo
[/QUOTE]
 
Jina lako la kwanza*jina la ukoo*tarehe, mwezi, mwaka uliozaliwa* jina la mama*jina la ukoo la mama

Kisha tuma kwenda namba 15096

Mfano: MUSA*DEO*11011999*ANNE*LUKAS
 
Kwanini usiende NIDA,hili jukwaa limekosa thamani ,hata vitoto vya Division 5 vinajifunzia hapa
 
Back
Top Bottom