kivava
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 5,772
- 4,922
Mimi nionapo sura kama hizi natamani hata kuwa mwindaji haramu hasa meno ya tembo ili nipate pesa na niguse tu hayo maka-lio.
Ha ha ha
Uza sembe tripu mbili unachukua mzigo
Mimi nionapo sura kama hizi natamani hata kuwa mwindaji haramu hasa meno ya tembo ili nipate pesa na niguse tu hayo maka-lio.
Ha ha ha
Uza sembe tripu mbili unachukua mzigo
Ana tabia za kishoga kivipi bro fafanua kidogo mi nilijua jamaa sela kiaina
Moja ya wadada wanaotisha kwa urembo hapa bongo kuanzia juu mpaka chini nilibahatika kuona picha yake moja akiwa natural kabisa inaonekana kama ana asili flani hivi siyo mbantu kwa asilimia 100 ni kama vile ana ushombe shombe flani hivi.Kwa mfano angalia kwa ukaribu structure ya uso wake kwenye picha hapo juu kuanzia pua na vitu vingine
Nataka kujua tu huyu bidada ana asili gani sio kwa ubaya mtoto wa kike unapokuwa mzuri kupindukia kufuatiliwa ni jambo la kawaida inabidi uwe proud.
Miner Spartan mama umejaliwa umewaacha mbali sana akina LULU,JOKATE,WEMA,KAJALA wote hao hakuna anayekufikia hata kwa nukta.
Halafu huyu mshikaji anayemkaza huyu demu(Dullah Spartan) nampa big up madem kama hawa huwa wanaishia kwa mapedeshee tu.
Hivi huyu Dada kapotelea wpKama sura yake inakupendeza mchukue ukanywe naye chai.
Magufuli alisha haribu connection zote ukiona hivyo....
Huyo kicheche Ana asili ya Rwanda
Moja ya wadada wanaotisha kwa urembo hapa bongo kuanzia juu mpaka chini nilibahatika kuona picha yake moja akiwa natural kabisa inaonekana kama ana asili flani hivi siyo mbantu kwa asilimia 100 ni kama vile ana ushombe shombe flani hivi.Kwa mfano angalia kwa ukaribu structure ya uso wake kwenye picha hapo juu kuanzia pua na vitu vingine
Nataka kujua tu huyu bidada ana asili gani sio kwa ubaya mtoto wa kike unapokuwa mzuri kupindukia kufuatiliwa ni jambo la kawaida inabidi uwe proud.
Miner Spartan mama umejaliwa umewaacha mbali sana akina LULU,JOKATE,WEMA,KAJALA wote hao hakuna anayekufikia hata kwa nukta.
Halafu huyu mshikaji anayemkaza huyu demu(Dullah Spartan) nampa big up madem kama hawa huwa wanaishia kwa mapedeshee tu.
Huyu miner Spartan kwa jina halisi anaitwa Amina Nassoro.Ni mzaliwa wa Karagwe Kagera.Kasomea shule moja inaitwa Kayanga Primary School.Kwao wana asili ya Arabu/Oman kwan ndugu zao wengi wapo Oman including ukoo wa Kasauji.Baba yake (muda mrefu nimemuona) anaishi na kufanya shughuli zake hapo Kayanga, Karagwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehehehe yawezekana aiseeNdo maana karagwe na rwanda karibu sana basi ana na dna za kagame
Pia amesoma songea st Joseph alikua wa kawaida sana anaonekana yupo juu baada ya kuanza kutoka na huyo SpartanHuyu miner Spartan kwa jina halisi anaitwa Amina Nassoro.Ni mzaliwa wa Karagwe Kagera.Kasomea shule moja inaitwa Kayanga Primary School.Kwao wana asili ya Arabu/Oman kwan ndugu zao wengi wapo Oman including ukoo wa Kasauji.Baba yake (muda mrefu nimemuona) anaishi na kufanya shughuli zake hapo Kayanga, Karagwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh sio Spartan pekee.make hawa mavideo vixen wana mambo mengiPia amesoma songea st Joseph alikua wa kawaida sana anaonekana yupo juu baada ya kuanza kutoka na huyo Spartan
Mimi nionapo sura kama hizi natamani hata kuwa mwindaji haramu hasa meno ya tembo ili nipate pesa na niguse tu hayo maka-lio.