Naomba kujua hiki chakula kinaitajwe?

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
721
907
Wakuuu habarii za jioni

Nilienda sehemu Leo mchana nikakalibishwa hiki Chakula ambacho nakiri ni kitamu mno naomba kujua kinaitwaje?
images%20(45).jpg
 
naonga kama unga mbichi wa ngano uliopondwa sasa unasubiri kakatwa madonge mbona kama ugali sio ugali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom