DAVID PALMER
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 325
- 1,631
Satelaiti. Huko juu zipo wanazitumia kuangalia miundombinu yetu yote.
Aisee, upo serious? 🙂Google inakusanya data toka simu za Android duniani.
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee, upo serious? 🙂
Jamaa yupo sahihi kuna massive data ziko collected na Google na Navigation software kupitia hizo data Wanaweza kujua hata Traffic ya eneo na kukupa recommendation ya njia ya kupita, Time fulani Google CEO sundai pichai aliitwa na Congress na akawa anahojiwa kuhusu hio issueAisee, upo serious? 🙂
Hawa watu wana advance tech af wanakusanya data pengine bila wahusika kujuaJamaa yupo sahihi kuna massive data ziko collected na Google na Navigation software kupitia hizo data Wanaweza kujua hata Traffic ya eneo na kukupa recommendation ya njia ya kupita, Time fulani Google CEO sundai pichai aliitwa na Congress na akawa anahojiwa kuhusu hio issue
Kimfano juzi kati wamenitumia kwenye email maeneo na mikoa yote niliyokuwepo last month😄😄Jamaa yupo sahihi kuna massive data ziko collected na Google na Navigation software kupitia hizo data Wanaweza kujua hata Traffic ya eneo na kukupa recommendation ya njia ya kupita, Time fulani Google CEO sundai pichai aliitwa na Congress na akawa anahojiwa kuhusu hio issue
Hilo liko wazi. Kwa kupitia simu yako, google wanatambua na kuhifadhi sehemu zote ulizowahi tembelea, ukiomba rekodi yako unaoneshwa vichochoro na miji yote ulikanyaga kwa muda au mwaka husikaHawa watu wana advance tech af wanakusanya data pengine bila wahusika kujua
Mimi wamenitumia nikashangaa sehemu zingine hata nilishasau kama nimewahi fikaKimfano juzi kati wamenitumia kwenye email maeneo na mikoa yote niliyokuwepo last month😄😄
Kwa hiyo inakusanya data toka simu za Android duniani ? Na Iphone je?Jamaa yupo sahihi kuna massive data ziko collected na Google na Navigation software kupitia hizo data Wanaweza kujua hata Traffic ya eneo na kukupa recommendation ya njia ya kupita, Time fulani Google CEO sundai pichai aliitwa na Congress na akawa anahojiwa kuhusu hio issue
kote wanakusanya data mzee labda kwenye ios yako usilog in kwenye google account ykoKwa hiyo inakusanya data toka simu za Android duniani ? Na Iphone je?
Apa ndo wamejua kunifurahishaMimi wamenitumia nikashangaa sehemu zingine hata nilishasau kama nimewahi fika
Zipo 4 Zinazotumika kwenye simu GPS ya USA, Galileo ya Ulaya, Glonass ya urusi na Beidou ya China.Universal satellite owned by USA
Kuna namna mbili ama 3 za kutengeneza hizi ramani.Leo nmetoka sehemu A to B. Njia za shotcut sizijui fresh so nkaandika kwenye google map.
Imenionesha njia kibao na ni za uchochoro mno.. najiuliza hii inawezekanaje??View attachment 1809235