Naomba kujua gharama za kuandisha SPA

IamHumble

Senior Member
Dec 4, 2016
137
42
Za jioni ndugu zangu,

Mwenzenu nataka kujiajiri upande wa sekta ya Massage & SPA. Kuna anayeweza kunisaidia estimate ni mtaji kiasi gani unahitajika?

Thanks
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom