Naomba kujua Chimbo la Perfume Kariakoo

Naomba kujua Chimbo la Perfume Kariakoo

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,902
Reaction score
15,931
Mimi ni mfanyabiashara wa Mkoani, napenda nikija Dar hivi karibuni niangalie chimbo ambalo nitakuwa napata perfume kwa unafuu, Perfume ninazozihitaji ni zile za bei ya kawaida yaani ambazo kwa bei ya kuuzia rejareja zichezee kwenye elfu10 hadi elfu 60. Je ni maduka yepi yanauza Perfume kwa wingi hapo Kariakoo?
 
Mchikichi na Mahiwa
 
Mtafute huyu(0694327252)jamaa yupo Makumbusho anauza perfume bei poa sana kwa bei ya jumla na kutuma pia anatuma mikoani ukipokea mzigo wako ndio unalipia hela ya mzigo ila uwe muaminifu tu ukijifanya mjanja atakufatilia kupitia gari alilotumia mzigo na anakukamata vizuri tu.Asante
 
Anauza rejareja pia ?
 
Ushauri wa bure agiza perfume Zanzibar hauto jutia perfume zao nzuri sana kkoo zipo nzuri kweli ila nyingi sio
 
Asante kwa ushauri, ila ngoja tuanzie Kkoo tukikua tutaangalia na kwingine
 
Mtafute huyu(0694327252)jamaa yupo Makumbusho anauza perfume bei poa sana kwa bei ya jumla na kutuma pia anatuma mikoani ukipokea mzigo wako ndio unalipia hela ya mzigo ila uwe muaminifu tu ukijifanya mjanja atakufatilia kupitia gari alilotumia mzigo na anakukamata vizuri tu.Asante
Sawa asante
 
Nimetoka kkoo ndio narudi mkoani kwetu, nilichogundua Kkoo kama huyajui vizuri machimbo unapigwa kama Mkoani tu😁😁
 
Back
Top Bottom