Naomba kujua bei ya viti na meza za Cello

palesh pizoo

Senior Member
Apr 14, 2018
131
223
Habari za asubuhi wakuu, naomba kujuzwa juu ya bei ya jumla ya viti vile vya Cello vyenye miguu ya chuma pamoja na meza. Nataka nifanye biashara ya natural juice bar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom