Naomba kujua Bei ya Choroko kwa kilo

Ona Sasa

Member
Jul 2, 2009
65
11
Naomba mwenye ufahamu wa bei ya choroko kwa kilo sehemu mbali mbali hapa nchini kwa kipindi hiki anijuze.

Natanguliza shukrani.
 
Nashukuru, nitafurahi kuendelea kupata taarifa kutoka sehemu zingine
 
Naomba mwenye ufahamu wa bei ya choroko kwa kilo sehemu mbali mbali hapa nchini kwa kipindi hiki anijuze

Natanguliza shukrani
Uko wapi kwani? Maana bei zinatofautiana sehemu na sehemu...
 
Bei Za Mazao Zimeimalika Sasa Hivi, Wakati Ule Mbaazi Kilogram Tshs 100/= Mazao Ilikuwa Hasara
 
Back
Top Bottom