Uko wapi kwani? Maana bei zinatofautiana sehemu na sehemu...Naomba mwenye ufahamu wa bei ya choroko kwa kilo sehemu mbali mbali hapa nchini kwa kipindi hiki anijuze
Natanguliza shukrani
Mahenge 1200/Naomba mwenye ufahamu wa bei ya choroko kwa kilo sehemu mbali mbali hapa nchini kwa kipindi hiki anijuze.
Natanguliza shukrani.