Naomba kujua bei ya Bajaji Tanzania

Naomba kujua bei ya Bajaji Tanzania

matokeotz

Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
30
Reaction score
10
Habari,

Nafikiria kumfungulia mdogo wangu biashara ya Bajaji ili apate kitu cha kufanya ila sijui biashara hiyo sana.

Je, biashara ya kuendesha Bajaji inalipa? Kwa siku mtu anaweza pata kiasi gani?

Bei ya Bajaji mpya kiasi gani? Iliyo tumika kiasi gani?

Kingi chochote nijue?

Asante sana
 
Gharama inategemea mahali ulipo.Mimi nakupa mchanganuo kulingana na gharama za hapa ninapoishi.Bajaj mpya sh 7200000,service (Kupaka vikombe Greece) 40000, kununua na kufunga pazia 60000,kutengeneza mlango wa mbao 20000,kulipa bima 141600,kulipa sumatra 32000,TRA awamu ya kwanza 30000.Mafuta ya kuanzia 20000.
 
Aise ninayo kama upo mjini singidaa au waweza kufikaa kuchukuwaa njoo singida hapa nakupatiaa kwa 5.5 milionn ni yangu kbsaa inamiezi sitaa toka ninunuee
 
Hata mie nilikuwa naipenda sana hii biashara ya bajaj, ila nilipata kuuuliza gharama halisi za bajaj mpya kununua mpaka kupata vibali vyote ili kuweza kuingia barabarani si chini ya milioni 8,nilishangaa lakini nikagundua ni kweli kabisa
 
Lile turubai la juu ndo kununua na kulifunga jipya ni 60000?
Gharama inategemea mahali ulipo.Mimi nakupa mchanganuo kulingana na gharama za hapa ninapoishi.Bajaj mpya sh 7200000,service (Kupaka vikombe Greece) 40000, kununua na kufunga pazia 60000,kutengeneza mlango wa mbao 20000,kulipa bima 141600,kulipa sumatra 32000,TRA awamu ya kwanza 30000.Mafuta ya kuanzia 20000.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
matokeotz,
Nakushauri mfungulie hata kibanda cha Mpesa na vinywaji baridi kama yupo eneo lenye joto, au Duka la spea za pikipiki kama yuko kijijini
 
Back
Top Bottom