Ze Don B12
New Member
- Feb 9, 2018
- 3
- 2
Tafadhali wadau naomba mnisaidie wenye uzoefu na huu mradi
napenda kujua mambo ya fuatayo
1:Bei za mashine za Manual 4sreens ikiwa complete
2:Bei ya matishirt kwa jumla jumla..ni bei gan na zinakuwa na quantity gan
na pia zinapatikana wap
3:Mzunguko wa biashara unakuaje ki ujumla
ASANTEN SANA!