OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Daaanh hata wewe??!!!!!Na ukishaijua basi utujulishe pia tume ya maadili iliyomshauri JK/Mwenyekiti wao kuwaona Prof. Tibaijuka na Joka kengeza wana husika na escrow lakini ikipatisha majina yao!
Sasa kama tunataka mabadiliko na bado tunatumia tunachotaka kubadili kama mfano hii inaonesha wengi hamjui mtakacho asee