Naomba kuijua TUME YA MAADILI ya CHADEMA

Dupe

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
1,668
Reaction score
813
Wanajamvi habarini za asubuhi…!!

Naomba kujua hivi tume ya maadili ya Chadema ambayo ilimruhusu Lowasa awe mgombea wa Chadema ina watu wangapi na wakinani ambao walimpitisha Lowasa…??
 
We leo c mnanza kampen? Fanta yenu;ya ukawa hayakuhusu.
 
Hakuna tume ya maadili Chadema. Unadhani kwa nini Chadema Ludewa jana wametwangana makonde? Chadema wanaonyesha kukosa skill katika ujenzi wa chama. Matatizo ya CCM ni wingi tu wa makada wanagombania mafasi chache.
 
Mtatizo ya CCM ni nini kaka??!!!
 
We leo c mnanza kampen? Fanta yenu;ya ukawa hayakuhusu.

Mkosafedha;- Mimi nilikuwa Chadema damdam kiasi mpaka mamaangu kuna siku alidhani nataka kumpiga sababu ya kumtoa kwenye ushabiki wa Maccm na sijawahi iandika vizuri CCM humu JF.pitia post zangu zote na wala sikuwa na nia ya kumpiga mama angu ila nikimuelimisha aweze kuchanganua mambo na siasa zetu za Kitanzania ila baada ya ujio wa Lowasa na kupitishwa kuwa mgombea uraisi niliishiwa nguvu kwa maana misingi na itikadi ambayo niliiamini ilizikwa hapo kiasi nikajiona nilifanya kazi kubwa ila hazikuwa na maana, nilikata tamaa hapo mpaka sasa nakuambia sina imani na Chadema nimeona hakuna utofauti kati ya Chadema na vyama vingine wote wanawalaghau watanzania kwa kujua watanzania siasa zao za kufuata upepo sio kuchanganua mambo.
 
Wanajamvi habarini za asubuhi…!!

Naomba kujua hivi tume ya maadili ya Chadema ambayo ilimruhusu Lowasa awe mgombea wa Chadema ina watu wangapi na wakinani ambao walimpitisha Lowasa…??

Tume ya Maadili ipo NDIO MAANA HATUWATUKANI WALA KUWAPIGA WAZEE WETU,nyie endeleeni na matusi yenu na kuwapiga wazee kama Mzee Warioba.
 
Kwani ulisikia Kuna watu hawana maadili Chadema?Tulia dawa inaingia kelele za nini?
 
Kama maadili ya CCM ni KUWATUKANA NA KUWAPIGA WAZEE WAASISI WA CHAMA CHA MAPINDUZI,ni bora kusiwe na hiyo tume...teh teh teh...chitawaangucha
 
Mkosafedha;- Mimi nilikuwa Chadema damdam kiasi mpaka mamaangu kuna siku alidhani nataka kumpiga sababu ya kumtoa kwenye ushabiki wa Maccm na sijawahi iandika vizuri CCM humu JF.pitia post zangu zote na wala sikuwa na nia ya kumpiga mama angu ila nikimuelimisha aweze kuchanganua mambo na siasa zetu za Kitanzania ila baada ya ujio wa Lowasa na kupitishwa kuwa mgombea uraisi niliishiwa nguvu kwa maana misingi na itikadi ambayo niliiamini ilizikwa hapo kiasi nikajiona nilifanya kazi kubwa ila hazikuwa na maana, nilikata tamaa hapo mpaka sasa nakuambia sina imani na Chadema nimeona hakuna utofauti kati ya Chadema na vyama vingine wote wanawalaghau watanzania kwa kujua watanzania siasa zao za kufuata upepo sio kuchanganua mambo.

Hama nchi sasa. Nenda kwa Nkurunzinza
 
wasaliti wanatakiwa waondoke kwenye huu uso.
 
Tume ya maadili ni katiba ya chama. Kuteuliwa kwa Lowassa hakujakiuka katiba ya chama wala katiba ya nchi. Kama wewe ni mwana chadema soma katiba. Ila kama wewe ni CCM hakuna haja ya kupigizana na wewe kelele. Na si lazima kuiga kila kitu kutoka CCM kwa sababu wangekuwa na tume ya maadili wasingelea ufisadi. Kumbuka watuhumiwa wote wa Escrow wameteuliwa kugombea ubunge. Je hiyo tume yao inasaidia nini?
 
Kwani ulisikia Kuna watu hawana maadili Chadema?Tulia dawa inaingia kelele za nini?

Kamati ya maadili ya nini, Ukiingia chadema ni sawa na kuitumbukiza nguo yenye madoa kwenye ndoo ya maji uliyoweka jik nyingii
 
Back
Top Bottom