Hakuna tume ya maadili Chadema. Unadhani kwa nini Chadema Ludewa jana wametwangana makonde? Chadema wanaonyesha kukosa skill katika ujenzi wa chama. Matatizo ya CCM ni wingi tu wa makada wanagombania mafasi chache.
CCM wamepigana mawaziri na hakuna hatua waliyochukuliwa, unashangaa wanachama wa kawaida wa chadema kupigana? Ajabu sana hii.