Naomba kufunguliwa macho!

Binti yangu charminglady ngoja nijaribu kutoa ufafanuzi ufuatao, lakini nitalenga upande mmoja wa dini kulingana na imani yangu kama si yetu.
Utangulizi,
Ndoa hutoka kwa Mungu, unganiko la ndoa hukamilishwa na wanadamu.
Harusi ni tafrija kuonesha watu wawili wamefunga ndoa.
Ngono,zinaa au uasherati hutafsiriwa kama unganiko la kimwili baina ya mtu mke na mtu mume.
Ngono imehalalishwa kwa wanandoa tu.
Mungu husamehe na kusahau.

Baada ya hayo, hata kama watu walizaa na kufanya ngono watakavyo, lakini wakageuka na kutubu,bado kuna uhalali wa hilo unganiko jipya kuliita ndoa. Maana yule ambaye ndio asili ya ndoa, husahau na kutohesabu makosa ya mwanadamu pindi anapomgeukia na kutubu.
 
thanx much daddy kwa ufafanuzi....
luv u daddy!!!!
 
Thank you! You hit the nail on the head.
Can't stand the holier than thou tone of this thread!
 
charminglady hapo vipi??....i guess English has many fathers!!!..however, Swahili is an orphan!!

....A behemoth of a busybody with abhorrent absurdities, monstrous macabre moralities bearing bullying cacophonies of comedic calumny dusted with the disguise of a puritan police.
 
Last edited by a moderator:

.....tuacheni wazinzi tuoane na wazinzi wenzetu jamani, kha?
 

Ukiona watu wamefunuana vya kutosha kabla ya ndoa na bado wanataka kufunga ndoa(halali) ujue hao watu wanapendana kikwelikweli, na ndoa yao itadumu.

Ndoa zinazovunjika sana ni zile ambazo mmoja wa wahusika amem-force mwenzake kukimbilia upesi msikitini, kanisani n.k kuhalilisha kabla kasoro au doa halijaonekana bado. Na mara nyingi in long run wahusika hujuana kiukweli na hapo ndipo mmoja anakula kona.
 
Point!

 

Unachosema ni sawa kwa wanaoamua hivyo ikiwa hawajapata watoto kwa vile baada ya hapo ni watoto ndio wanawafanya waendelee kuhalalisha hiyo ndoa. Halafu unakuta ndoa za hivi watoto pia wanashiriki kwenye sherehe ya baba na mama zao.
 
asante kwa ufafanuzi wenu nlikuwa sielewi elewi!
 


Mi ntatofautiana na wewe Charminglay, nadhani ndoa ni maelewano baina ya watu wawili wa jinsia mbili tofauti yaani mwanaume na mwanamke kuishi pamoja kinyumba for the rest of their life,yenye malengo ya kuwa na family na kuendeleza kizazi.Inapofikia kwenda kwa wazazi pamoja na kanisani/msikitini hii yote ni kwa ajili ya kuformalize/legalize tu huo uhusiano wao.Ni hayo tu!!!!!
 
wanafanya hivyo kwa sababu 2 miili ya binadam haieleweki ndo maana unaamua kugonga mzigo kwanza kama unalipa unaingiza sokon kama hauna faida achana nao tafuta wenye faida nzuri zaidi,kwa sababu mabinti wa sasa kunamadawa mengi wanayo 2mia unajikuta mara anakansa ya kizazi so nila zima urekebishe mapema ukija kwa makaka unakuta wanashindia chips utazitoa wapi nguvu weeeeeeeeeeeeeeweeeeeeeeee jamani
 
hahahahahahaahahahahahahahah!!!!!!!!! duh!
ah bomani sii wanatoa cheti kile kile wangu. mbona unaconfuse wewe. ukichukua bomani bado ni ndoa tuu, sasa kulingana na uchunguzi wako most likely nyie hamtadumu muda mrefu. mie naona hata bomani msiende kaane tuu kama mlivyo.
 

asante mkuu... nimekupata
 


watu wa hivi mimi wakija kwangu kuomba mchango huwa siwapi kabisa. wameshajifungisha ndoa..
 

utafiti mdogo umegundua 99% na ule mkubwa utagundua ngapi? endelea tena na utafiti bana....

Mabadiliko ya kidunia yanatulazimisha vitu vingi sana moja wapo ndio hilo la kuowa wakati mshamaliza kila kitu, dini imebdi ziendane na hali halisi vinginevyo zingepoteza wanakondoo wengi sana.
Kuoa kabla ya kujuana kiundani nako madhara yake ni makubwa zaidi kwani kama hamfamiani kwa karibu ni vigumu kila mtu kuzoea tabia za mwenza wake gafla. kujuana kabla kwenye mapenzi kama mraridhishana, tabia kama mnawez kuvumiliana, malengo na mipango ya kimaisha na mengineyo kunatoa fursa ya kujiuliza je ufunge nae pingu za maisha au la.
 

jiweeeeee... utafiti mkubwa ntapata 100%....
asante!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…