CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Mbaya zaidi ni pale unapoletewa kadi ya mchango eti wa harusi wakati mtu ameamua kumuoa mke wake, na wengine wanaandaliwa kitchen party wakati wameshakubuhu kwenye maisha ya kuishi mume na mke. Kwa upande wngu mimi naona sio sawa, huu ni wizi wa hiari.
Hali zenu wadau wa MMU
Kwanza niwaombe radhi kwa yale ninayotaka kuuliza ili kupatiwa ufafanuzi....
Kwa utafiti mdogo niliofanya, nimegundua asilimia 99 ya ndoa za siku hizi hufungwa baada ya wanandoa hao watarajiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi... wengine mpaka wamekwenda mbali wakabeba mimba... wengine wameishi pamoja.
Swali langu ni kwamba huwa wanakwenda kuhalalisha mahusiano ama kufunga ndoa takatifu? kuna haja gani ya kufunga ndoa kanisani / msikitini wakati mshafunuana vya kutosha????
Kwa mawazo yangu nahisi hii ndo sababu ya ndoa za siku hizi hazidumu kwa sababu hazina mibaraka bali laana.....
Watu hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia, si unajua maisha ya sasa hivi tunavyoishi mambo kibao, huku kwa mabinti kuchomoa mimba unakuta kizazi hakishiki tena , kwa mmeee mara nguvu ndogo chipsi mayai, swala la ndoa kutodumu sababu ni nyingi sna zikiwemo, tamaa, ubinafsi na hili la kujaribu jaribu sana sasa unajikuta umeingia kwenye ndoa na mtu amabaye vitu havi match hapo ndo unanzaa kukumbuka zamani na usaliti juuHali zenu wadau wa MMU
Kwanza niwaombe radhi kwa yale ninayotaka kuuliza ili kupatiwa ufafanuzi....
Kwa utafiti mdogo niliofanya, nimegundua asilimia 99 ya ndoa za siku hizi hufungwa baada ya wanandoa hao watarajiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi... wengine mpaka wamekwenda mbali wakabeba mimba... wengine wameishi pamoja.
Swali langu ni kwamba huwa wanakwenda kuhalalisha mahusiano ama kufunga ndoa takatifu? kuna haja gani ya kufunga ndoa kanisani / msikitini wakati mshafunuana vya kutosha????
Kwa mawazo yangu nahisi hii ndo sababu ya ndoa za siku hizi hazidumu kwa sababu hazina mibaraka bali laana.....
Haina mvuto kabisa hiyoooooooooooooooooooooooooooooo, fanya wewe :target:
vizuri umeligundua hilo. je wewe hujamegwa? na kama ulishamegwa ndoa haipo tena katika mipango ya maisha yako?
me nishajikabidhi bila ndoa mkuu
haya bwana ndio fashion ya sasa....go with the flow bwana ila msifunge ndoa kaaeni hivyo hivyo
tuna mpango wa kwenda kuchukua cheti bomani ili kuhalalisha kisheria na sio kanisani make haina maana tena....
umepajate hiyo 99%? Source Kiranga
afu baraka na laana? Sasa kwa nini makanisa yanakubali kufundisha
ah bomani sii wanatoa cheti kile kile wangu. mbona unaconfuse wewe. ukichukua bomani bado ni ndoa tuu, sasa kulingana na uchunguzi wako most likely nyie hamtadumu muda mrefu. mie naona hata bomani msiende kaane tuu kama mlivyo.
kufunga ndoa na kufanya harusi ni vitu viwili tofauti...
mkiishi pamoja ni 'kufunga ndoa'
iliyobaki ni kufanya harusi