Naomba kufundishwa kupika "Hummus"

Naomba kufundishwa kupika "Hummus"

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,622
Reaction score
45,567
Naomba kwa yeyote anayeweza kupika hicho kitoweo anifundishe.

Nilibahatika kukila huko duniani nikakipenda. Sijui jina lake kwa Kiswahili. Shida yangu ni jinsi ya kukipika.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom