Naomba kufanya ROKOOO (ROLL CALL)!!!!!!!

Hapa nilikuwa Chakechake kwa ami yangu, hapo anayechungulia ndiye mie Zinduna

 
nimekuja mamito........ Zinduna ulipotea!
Karibu pita ndani mlango u wazi!
 
Last edited by a moderator:
We mwana we! Taratiibu usijedanganywa na hizi mnvi ukadhani nimezeeka vyote... We haya we.. Utakuja kusimulia hapa..

hahahahahaha.....................no wonder
 
[mention=Zinduna]watu8, upo bro, nimepata habari zako
kupitia PM kuwa siku hizi hukamatiki[/b]

Hehehe, binamu huyo alokwambia sikamatiki ni ye mwenyewe kashindwa nikamata...
Tena siku hizi nimeacha kujipaka ute wa bamia, ili wanikamate najipaka ulimbo toka utosini hadi unyayoni.
Halafu binamu kupotea kote huko ndio tabia gani jamani, jiji lote nishaweka mabango ya kukusaka weye lakini pasi na mafanikio.
 

hahaaa! Zinduna ya kweli hayo
au mwenyekiti anatafuta mshiko
wa kujazia kale ka gari tulichomuahidi
na loya wangu??!!!!

 
Last edited by a moderator:

mmmmmhhhhh!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ataisoma namba, siku hizi amtake nani? Bishanga keshajiishia kama yule Bilionea wa Arusha ELISANTE lol
Zinduna ujue you are killing me softly na hicho ki laptop,sina concentration kabisa katika mada yako ujue.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
jamani we babuuuuu............msuto haki yako!!!


Zinduna......uuuwi nahisi muda unachelewa!!! nishakula mayai mabichi sauti isikauke............. Bishanga!!! utakoma leo!

Kwani Bishanga kasema uongo???, mwanamke pekee ambaye ana uhakika mumewe alipo ni MJANE tu, wengine wote mnapigwa machanga ya macho...
 
Last edited by a moderator:
Kwani Bishanga kasema uongo???, mwanamke pekee ambaye ana uhakika mumewe alipo ni MJANE tu, wengine wote mnapigwa machanga ya macho...

jamaaaaaaaani Baba V!! eti sosoliso kama kuna ukweli hapa?? usisite kuniambia..........pengine ilikuwa zamani...?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…