Naomba kufahamu zaidi kuhusu Data Roaming

Jan 27, 2018
79
60
Wakuu habari za saizi, naomba kufahamishwa yafuatayo kuhusu Data Roaming
1. Data roaming ni nini kwenye simu
2. Inafanya kazi gani
3. Unatumia wakati gani data roaming
 
Roaming sio data peke yake, hata voice inayo roaming.

Roaming maana yake ni kutumia Mtandao mwingine kupata huduma ya mtandao wako pale ambapo mtandao wako hauna huduma.

Kwa mfano unatumia Tigo halafu ukaenda maeneo ya mpakani mwa tanzania na kenya. Kule hakuna huduma ya Tigo, ila unaweza kutumia Airtel Kenya kupata huduma kwenye line yako ya Tigo. Hiyo ndio Roaming.

Roaming ina Gharama kubwa za ziada kwasababu unatumia miundombinu ya Mtandao mwingine kupata huduma kwenye mtandao mwingine.

Ndio maana kwenye setting ya kuruhusu Roaming ya simu yako, unapewa WARNING kuhusu extra charges.
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom