Wadau habarini za jumatatu, naombeni mnisaidie kufahamu vyo vya kati na vya juu vinavyotoa fani za urubani na maswala ya anga (Pilot studies and aviation management or any other related courses) vinapatikana wapi na mahitaji ya mchepuo gani wa masomo gani huzingatiwa?
Nawasilisha ndugu zangu.
Mdogo wenu amefaulu kujiunga Advance sasa anasema ana ndoto yakusomea urubani au mambo yanayohusiana na anga.
Wasaalam
Vella
Nawasilisha ndugu zangu.
Mdogo wenu amefaulu kujiunga Advance sasa anasema ana ndoto yakusomea urubani au mambo yanayohusiana na anga.
Wasaalam
Vella