Kangi kazaliwa 1963Nimeshangazwa sana na maneno ya Magufuli wakati akimtumbua Lugola kuwa Lugola aliwahi kuwa mwanafunzi wake Sengerema Secondary wakati nikimtazama Magu na Lugola ni kama Lugola ni mzee kuliko Magu
sasa kwa wanaojua umri wa bwana Lugola wanifahamishe tafadhari
Magu 59.Alimfundisha vipi Lugola ?
Na magu
Swali ni Kangi alianza lini shule huko Serengerema na Magu alianza lini kufundisha huko Serengema, ili angalau tuone uwezekano wa linalosemwa?Magu 59.Alimfundisha vipi Lugola ?
Hivi unaweza kumfundisha uliemzidi miaka minne sekondari ?Swali ni Kangi alianza lini shule huko Serengerema na Magu alianza lini kufundisha huko Serengema, ili angalau tuone uwezekano wa linalosemwa?
Kwa jinsi JPM mlolongo wake wa shule sidhani.Mbona inawezekana kabisa. Ina maana wanapishana miaka 4. Hivyo JPM alioomaliza F6 akaenda kufundisha alimkuta Lugora F3 au F4. Sii ajabu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana since wakati mwngne wanafunzi siku za nyuma walikuwa wakihitim hurudi kujitolea wakiwa wamesubiri matokeo au muda wa kuelekea advance au chuoMagu 59.Alimfundisha vipi Lugola ?
Katudanganya?Kwa jinsi JPM mlolongo wake wa shule sidhani.
Hivi ni miujiza kwenye hilo mtu kusoma akiwa na umri mkubwa karibia na mwalimu wake, tunazungumzia miaka ya sabini au themanini.Hivi unaweza kumfundisha uliemzidi miaka minne sekondari ?
Kuna mmoja Kati ya hao hajui mwaka wake wa kuzaliwaMagu 59.Alimfundisha vipi Lugola ?
Mhuuuuum. Kutokana na historia ya Magufuli hakuna sehemu alijitolea. Any way labda. Tena Sengerema secondary ni goverment. Labda.Inawezekana since wakati mwngne wanafunzi siku za nyuma walikuwa wakihitim hurudi kujitolea wakiwa wamesubiri matokeo au muda wa kuelekea advance au chuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo kikuu sawa. Ila secondary mhuuuuum ni ngumu.Hivi ni miujiza kwenye hilo mtu kusoma akiwa na umri mkubwa karibia na mwalimu wake, tunazungumzia miaka ya sabini au themanini.
Ni ktk ugumu huo huo jambo likiwezana si rahisi kuamini.Chuo kikuu sawa. Ila secondary mhuuuuum ni ngumu.
Basi Lugola alichelewa sana kuanza shule. Au alifeli la saba akarudia sana tena sana. Tatizo hawa wanasiasa utasikia tu wamesoma wapi na wapi ila miaka ipi hawasemi. Bashite nae haijulikani secondary alimaliza mwaka gani.Ni ktk ugumu huo huo jambo likiwezana si rahisi kuamini.