Naomba kufahamu mazoezi maalum ya mgongo

Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,052
4,101
naomba kwa ambaye anayejua mazoezi maalum ya mgongo nimepatwa na na tatizo la maumivu ya mgongo low back kwa mbali na pia mguu wangu wa kulia unakuw mzito nikitembea goti linauma mara ya.kwanza ulikuw unakufa ganzi nikapata dawa ya neurobion tatizo hilo likaisha sasa naomba msaada wa link ya mazoezi maalum kwa mtaalamu au aliyewahi kupata tatizo hili naamini itanisaidia kurudi katika hali yangu
believe in God
 
Kwanza angalia godoro unalolalia. Nakushauri utafute othopaedic mattress ama Tanform au kwingineko ili uwe unalala mgongo ukiwa umenyooka. Niliwahi kuwa nahali ya kuumwa mgongo na kiuno kila nikiamka nikaja nikashauriwa kununua godoro hilo na sasa niko fresh kabisa. Labda kama unamatatizo mengine labda ya pingili za mgogo-disc
 
Tumia ceragem bed italiondoa tatizo lako Tanzania | Ceragem Tanzania
 
naomba kwa ambaye anayejua mazoezi maalum ya mgongo nimepatwa na na tatizo la maumivu ya mgongo low back kwa mbali na pia mguu wangu wa kulia unakuw mzito nikitembea goti linauma mara ya.kwanza ulikuw unakufa ganzi nikapata dawa ya neurobion tatizo hilo likaisha sasa naomba msaada wa link ya mazoezi maalum kwa mtaalamu au aliyewahi kupata tatizo hili naamini itanisaidia kurudi katika hali yangu
believe in God
Mkuu hilo tatizo ulilonalo hata mimi ninalo, nilienda selian hospital arusha mjini wakanipiga x ray, wakaniambia ni disk imepinda, hivyo wakanishauri niendelee kutumia dawa, pamoja na kufanya mazoezi, mazoezi wanakufanyia hapo hapo hospital, kwa kweli mpaka ss naendelea vizuri
 
Kwanza angalia godoro unalolalia. Nakushauri utafute othopaedic mattress ama Tanform au kwingineko ili uwe unalala mgongo ukiwa umenyooka. Niliwahi kuwa nahali ya kuumwa mgongo na kiuno kila nikiamka nikaja nikashauriwa kununua godoro hilo na sasa niko fresh kabisa. Labda kama unamatatizo mengine labda ya pingili za mgogo-disc
Tanform inasaidia???
 
Mkuu hilo tatizo ulilonalo hata mimi ninalo, nilienda selian hospital arusha mjini wakanipiga x ray, wakaniambia ni disk imepinda, hivyo wakanishauri niendelee kutumia dawa, pamoja na kufanya mazoezi, mazoezi wanakufanyia hapo hapo hospital, kwa kweli mpaka ss naendelea vizuri
Vipi mkuu tatizo lilikwishaa???
 
Anamaanisha godoro linachangia sana maumivu ya mgongo kwakua tanform original magodoro yao ni mazuri ndio maana kayataja kama suluhisho.
Nna amma yangu nilimpeleka spitali kaambiwa hivyo hivyo.

Sasa nahisi pengine godoro nalo lilawa linachangiaa hii ishuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom