Naomba kufahamu madhara ya kiafya ya kunywa maziwa lita moja ma nusu kila siku

hakuna madhara
ila kumbuka mafuta kwenye mishipa ya dam=shinikizo la juu la damu =kisukar=magonjwa ya moyo=ugumba=mwsho kifo cha mapema.

kama unakunywa hicho kiwango anza mazoezi usiwe obese

Bora kutumia maziwa kuliko nyama side effects za maziwa ni ndogo kuliko za nyama
hakuna madhara
ila kumbuka mafuta kwenye mishipa ya dam=shinikizo la juu la damu =kisukar=magonjwa ya moyo=ugumba=mwsho kifo cha mapema.

kama unakunywa hicho kiwango anza mazoezi usiwe obese

God first
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom