Naomba kufahamu kuhusu nchi kuchoma pesa za nchi zingine kwa lengo la kulinda pesa zao

mpondamali

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
499
174
Ninataka kujua wana wajumbe nchi kuchoma pesa ya nchi ingine kwa madai ya kulinda pesa ya nchi dhidi ya nchi ingine...wanauchumi na wataalami Wa mambo ya fedha na utawala hebu lidadavueni hili
IMG-20181119-WA0005~2.jpeg
 
ah ah wazee wa kucook data shilling wameizidisha thaman kwa asilimia 17 mbaya zaidi wamekopa sana na bado wanategemea bidhaa toka nje zinazonunuliwa na dolla...patamu hapo ila kwenye kuchoma pesa wametisha
...
There is no change to the output of the economy if you burn money, so the cost of goods theoretically adjust to absorb it. For example, say we have $1 000 in circulation (it's a small country), and 10 things equally priced in the economy, giving each good an average cost of $100. You just destroyed $100, but all goods theoretically will still be consumed. This gives the goods an average price of $90. By taking ten percent out of circulation, you've just trimmed the amount of goods by 10%.
This can actually be observed in slow economies. When the cash stops flowing, they don't know necessarily if people are burning the money, stuffing it in their mattresses. They then lower borrowing rates, and ideally people expand their businesses by hiring people with cheap capital.
 
Back
Top Bottom