Naomba kufahamu kuhusu Biashara ya Air BnB

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,143
Reaction score
12,872
Wadau habari za muda.

Naomba kwa mwenye uzoefu ama ufahamu wa kina kuhusiana na hii Biashara ya Air BnB.

Naomba kujua faida zake, changamoto zake pamoja na mahitaji gani muhimu ili kuweza kuifanya kwa ufasaha..

Pia kwa wazoefu naomba kupata hints ukilinganisha biashara hii na ile nyingine ya nyumba za kupanga..

Mapendo,
TANMO.
 
Hii unapanga kwa matumizi unayoyahitaji kwa mfano unaweza ukapanga kwa siku, kwa wiki au kwa mwezi.

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
Pia unapata huduma zote za msingi...kimsingi ni biashara nzuri kwa sababu wageni wa kutoka mataifa mbalimbali wanaweza kufanya booking ya accommodation kwa muda watakaouhitaji bila dalali.

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
Sawa.

Sasa kusudi langu ni kupata uzoefu kwa wenye Properties ambao wanaifanya hii biashara hapa nchini.
Kinachofanyika kama una nyumba yako unajisajili kwenye airbnb website yao then wao wataitangaza na kukuunganisha na wateja. Payments zinafanyika wao wanapata commission tu. Pia nimeona hapa dar watu wengi wanaofanya biashara hii wanapanga apartments au nyumba za kawaida, wanaziwekea furnitures na kila kitu ndani then wanazisajili kwenye mtandao wa airbnb. Kimsingi airbnb inalipa kwa sababu charges zake ziko kwa siku.

umepatia na uko sahihi
 
Sawa.

Sasa kusudi langu ni kupata uzoefu kwa wenye Properties ambao wanaifanya hii biashara hapa nchini.
km uko serious.utafanikiwa

Muhimu uwe na nyumba nzuri,eneo zuri.kn mdau kaelezea vzr hapo juu
 
Hivi maeneo ya Mbezi au Kimara huku hii biashara inawezekana?

Maana wengi naona wako based Masaki, Mikocheni, Mbezi Beach n.k
 
mmh huko siwezi kukupa uhakika. bagpacker wengi wanataka maeneo karibu yenye huduma za kijamii
 
mbezi ipi? kn acces ya huduma muhimu za kijamii? ujue wateja wa airbnb ni bagpackers ni low tourist?
Mkuu unamaanisha huduma zipi kwa mfano ambazo huwa wana consider? Na unaposema Bagpackers unamaanisha nini?
 
bagpackers hili neno naomba u google km una nia ya kujua hili

Unajua wazungu vitu wapendavyo? Ni vitu vidogo vidogo,

Hy house. Iko karibu na vitu ambavyo ni vivutio kwa mtalii?
 
Back
Top Bottom