Hii itakugharimu kama ikiamshiwa popo.Vinginevyo tafuta viwanda vilivyoruhusiwa kuzalisha kwa walaji waliosajiliwa pia.Kama na wewe una kiwanda au agent hakikisha kiwanda kinachotengeneza kinatambulika na hata mlaji anatambulika (label) hasa unaenda kufanyia matumizi gani.Asante